Mwanamuziki Diamond Platnumz Apata Shavu Jingine la Nguvu. Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwanamuziki Diamond Platnumz Apata Shavu Jingine la Nguvu. Ipo Hapa

Wanasema hela zinaenda kwa wale ambao tayari wanazo. Kwa Diamond kuamka na dili mpya kila kukicha kimekuwa ni kitu cha kawaida.
Na sasa staa huyo amesaini mkataba wa ubalozi wa tomato sauce tunayokutana nayo mara kibao kwenye vile vijiwe vya kulia viepe, Red Gold.
Amesaini mkataba huo jana kwenye ofisi zake za WCB. Huo ni mkataba wa tatu baada ya DSTV, Vodacom.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.