Mwanamuziki Davido katua Nchini CongO, Shabiki Huyu Alimfanyia Kitendo Cha Kumshangaza Kidogo, Muone Hapa.... - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwanamuziki Davido katua Nchini CongO, Shabiki Huyu Alimfanyia Kitendo Cha Kumshangaza Kidogo, Muone Hapa....

Uwepo wa mashabiki kwenye sanaa ya staa yeyote ni kitu ambacho tumezoea kukiona ila kuna ule ushabiki wa damu mpaka mtu analia kwa kutoamini kama amekutana na staa anayemkubali ambaye amekua akimuona tu kwenye TV na kusikiliza nyimbo zake.
Imetokea kwa mwimbaji wa Nigeria Davido wakati alipotua Congo Brazaville kwa ndege binafsi akakutana na shabiki anaeonekana kuwa muhudumu wa Hoteli ambaye aliangua kilio sio mchezo baada ya kumuona Davido, kwenye hizi video hapa chini Davido anaonekana akimbembeleza.

FAN LUV BRAZZAVILLE!!!🔥🔥🔥🔥🔥

A video posted by Davido Adeleke (@davidoofficial) on

CRAZY WHAT MUSIC CAN DO TO PPLE!! FAN LUV CONGO!!

A video posted by Davido Adeleke (@davidoofficial) on

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.