Leicester Yazidi Kujikita Kileleni - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Leicester Yazidi Kujikita Kileleni

Wes Morgan akishangilia goli dhidi ya Southampton

Leicester City imeendelea kujikita kileleni kwa alama saba baada ya kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Southampton, goli likifunga na mlinzi na nahodha Wes Morgan dakika ya 38.

Nao Manchester United imejinyakulia alama tatu muhimu baada ya kuifunga Everton 1-0, goli limefungwa na Anthony Martial.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.