Kuhama Hama Kwa Watangazaji Wa Radio Za Bongo.. Maana Yake Ni Nini!? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kuhama Hama Kwa Watangazaji Wa Radio Za Bongo.. Maana Yake Ni Nini!?

Watangazaji sasa wanabadilisha vituo kama team za soccer.

Gadner katoka Efm kaenda Clouds.

PJ na Hando wametoka Clouds wameenda Efm.

Jabir saleh na Bi Hindu wametoka Times fm wameenda Efm.

Dj Senyorita na Mami wametoka East Africa radio wameenda Clouds.

Kuna tetesi Clouds sasa wanamtaka Kitenge kwa pesa yoyote anayotaka, Kitenge akichukuliwa na Clouds Shafii amesema ataondoka na Efm wanataka kumchukua kwa pesa ndefu.

Ni mwendo wa kutangaziana dau.

Hapa haieleweki ni jeuri ya pesa?

Stunt za kuongeza kusikilizwa?

Tasnia chovu ya utangazaji inakua?

Nani anaefaidika na hii game?

Au umjini mjini?

Efm wanakwambia huu mchezo hauitaji hasira!

Tusubirie kuona mwisho wa huu mchezo au labda ndio mwanzo wa sinema.

Mjini kuzuri sana!

Chanzo: JF

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.