Kidole cha Chanda cha Lulu Kimepata Mgeni ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kidole cha Chanda cha Lulu Kimepata Mgeni !

Kuna matukio mawili tu makubwa maishani yanayopelekea kidole cha chanda cha mwanamke kipate mgeni – pete, kuchumbiwa ama kufunga ndoa.
Je ! Elizabeth ‘Lulu’ Michael amefanya moja kati ya hilo ? Ni kwasababu picha zinaonesha kidole chake kikiwa na pete hali ambayo imewafanya watu wengi wajiulize maswali.

Kwenye picha moja, Lulu anaonekana akiionesha pete hiyo na kuandika: Simplicity z the key.

Kwenye picha nyingine ameandika: Pale unaposikia Kwa…Kwa…Kwa…Kwa Ya Rihanna wakati WA kupiga picha #simplicityisthe

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.