Jokate Atoa Dili Kwa Hamisa, Tunda na Warembo Wengine Kutangaza Nywele Mpya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jokate Atoa Dili Kwa Hamisa, Tunda na Warembo Wengine Kutangaza Nywele Mpya

Bet Sasa
Wanawake wa Tanzania wameamua kupeana mashavu. Jokate Mwegelo amewatumia warembo maarufu wakiwemo Hamisa Mobeto, Miss Tanzania wa zamani, Gena Mpangala, Tunda na Husna Maulid, kupromote nywele zake mpya za Malaika kupitia brand yake ya Kidoti.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.