Imevuja: Picha Za Mtoto Wa Msanii Ben Pol Ambae Wengi Hawajamwona na Mkewe Pia, Jionee Mwenyewe ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Imevuja: Picha Za Mtoto Wa Msanii Ben Pol Ambae Wengi Hawajamwona na Mkewe Pia, Jionee Mwenyewe !

Ni kwasababu tumebaini kuwa mfalme huyo wa R&B kama anavyojiita ni baba wa mtoto wa kiume mwenye miezi kadhaa sasa!

Muimbaji huyo wa ‘Ningefanyaje’ amepiga kimya lakini sio rahisi kwa mama aliyejifungua kuificha furaha ya kupata mtoto. Mchumba wa Ben Pol, Latifa Mohamed aka Queen Tipha aliyewahi kuwa mshindi wa pili kwenye Miss Tanzania 2013 ametusogeza karibu na mtoto wao. Tazama picha za Tipha na mwanae.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.