Huyu Ndie Mrembo Anaye Mpagawisha na Kumdatisha Msanii Linex (Picha) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Huyu Ndie Mrembo Anaye Mpagawisha na Kumdatisha Msanii Linex (Picha)

Mrembo huyu alianza kuonekana na kuwa gumzo sana wakati wa ngoma ya Linex "Kwa Hela",  Maneno yalianza kutokana na picha zilizo zagaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya mrembo aliye onekana kwenye cover la wimbo huo na baadae kwenye video akiwa kama video vixen ambapo Linex amethibitisha kuwa naye kimahusiano. Mrembo huyu ni maarufu zaidi katika mtandao wa instagram kwa jina 'Erry_cah'
Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.