Harmonize Amzalilisha DJ K Flip Aliyewahi Kufanya Kazi na Wasanii Kama Diamond, Weusi na Tekno - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Harmonize Amzalilisha DJ K Flip Aliyewahi Kufanya Kazi na Wasanii Kama Diamond, Weusi na Tekno

post-feature-image
Kama wewe umebahatika ku mfollow HarmonizeDiamond PlatnumzWasafi au mmoja wa wanachama wa kundi la Wasafi basi utakuwa umeelewa kuwa siku ya jana Harmonize alikuwa anashow jijini Mwanza kwenye Jembeka Festival ambapo wengi wakazi wa Mwanza walikuwa wanaisubiri kwa hamu sana.

Ila hali imekuja kuonekana ndivyo ikawa sivyo kwa mwimbaji Harmonize baada ya kuonekana alimkashifu DJ K Flip ambaye ameshawahi kufanya kazi na wasanii wakubwa kwenye show mbalimbali akiwemo Diamond PlatnumzWeusiTeknoIzzo BiznessGodzilla na wasanii wengine.
Kwa Harmonize kazi ikawa tofauti baada ya Dj K Flip kuambiwa kuwa anazinguwa na msanii huyo kitu ambacho kimemsababisha apeleke malalamishi yake kwenye ukurasa wake wa Instagram kwakuandika "Sijawahi kuacha show ya msanii yeyote hewani ila Jana I did manake @harmonize_tz aliniita DJ ANAEZINGUA na kwenye historia yangu sijawahi kuitwa hivyo na waliokuepo ilikua Kama ushahidi maana hata @diamondplatnumz nimemdj ila hakunifanyia Kama alivyofanya @harmonize_tz nimefanya shows na artist wengi wakiwemo #WEUSI for 4 years @teknomiles @iamseyishay @robertozambia @redsan @joh_makini @izzo_biznesss @godzilla @barakah_daprince @gnakowarawara na wengine wengi.....sjawahi kumzingua artist especially upcoming kama wewe"

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.