Dkt. Reginald Mengi Kutoa Zawadi Ya Tsh Milioni 1 kwa Kila Mwanafunzi Atakayepata Div 1 Form 6 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Dkt. Reginald Mengi Kutoa Zawadi Ya Tsh Milioni 1 kwa Kila Mwanafunzi Atakayepata Div 1 Form 6

mengi2
Kupitia mtandao wa twitter mkurugenzi mtendaji wa IPP Media Dkt. Reginald Mengi amepost picha akiwa kwenye mahafali ya kidato cha sita kwenye shule ya Ashira Girls iliyopo mkoani Kilimanjaro, Caption yake ikisomeka hivi "Nikiwa na wahitimu 390 kidato cha 6 Ashira Girls Sec Sch. Nimeahidi kumzawadia kila mwanafunzi atakayepata Div1 sh 1 m"

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.