Diamond Platnumz Afata Nyayo Za Chid Benz, Atoboa " Pua" na kuweka kipini..Na Haya ndio Maneno Aliyosema....... - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Platnumz Afata Nyayo Za Chid Benz, Atoboa " Pua" na kuweka kipini..Na Haya ndio Maneno Aliyosema.......

Diamond Platnumz usiku wa April 6 kuamkia April 7 2016 aliingia kwenye headlines baada ya kupost picha inayomuonesha akiwa kavaa kipini puani, picha ambayo imepata comment nyingi kutokana na watu wengi kushangazwa kwa kitendo hicho, bado bongoswaggz.com haijapata majibu kutoka kwa Diamond kama kweli katoboa pua au la.
mmmm
Post ya Diamond
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Nay wa Mitego aliwahi kumkosoa Chid Benz katika wimbo wake wa Nasema nao kuhusu uamuzi wa kutoboa pua, ila picha ya Diamond Platnumz aliipost katika account yake ya instagram na kuandika naytrueboy Baba Tiffah you look mmmwaaah😍😍, @diamondplatnumzumenogaaaaa mwananguuuuuuuuuu..!! Hukoseagi yaniiii😎😎.! Mapovuuuuuuuuu sasaaaaa😂😂😂
nai
Hii ni post ya Nay wa Mitego
sta
Hii ni post ya Stan Bakora ambaye aliipost muda mchache baada ya Diamond kupost
Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki wa Diamond Platnumz

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.