Davido Kataja Kiasi cha Pesa Alicholipwa na Pepsi kuwa Balozi Wao. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Davido Kataja Kiasi cha Pesa Alicholipwa na Pepsi kuwa Balozi Wao.

African music staa Davido amethubutu kuweka wazi kiasi cha pesa alicholipwa na kampuni ya vinywaji ya Pepsi kama balozi wao.

Kwa mujibu wa Snapchat ya Davido, jamaa kalipwa pesa za Nigeria Naira milioni 100 kuwa balozi wa Pepsi. pia Davido anasema amepanga kuwa nunulia wasanii wote wa lebel yake magari mapya.

Kiasi hichi ni kama 1,099,061,759.4 za Tanzania.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.