Breaking News : Mwanamuziki Mkongwe Wa Kongo, Papa Wemba Afariki Dunia - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Breaking News : Mwanamuziki Mkongwe Wa Kongo, Papa Wemba Afariki Dunia

Bet Sasa
Mwanamuziki mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Papa Wemba amefariki Jumapili hii.
2111749
Muimbaji huyo maarufu amefariki akiwa Abidjan, Ivory Coast baada ua kuugua. Alikuwa yupo nchini humo kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA)
Redio ya Kongo, Radio Okapi imetangaza taarifa za kifo chake.
Amefariki akiwa na umri wa miaka 66.
-Bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.