Video Ya A.Y ft Diamond Platnumz (Zigo Remix) Imetazamwa Mara Milioni 4 Kwa Siku 48. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video Ya A.Y ft Diamond Platnumz (Zigo Remix) Imetazamwa Mara Milioni 4 Kwa Siku 48.

Video ya wakali wa muziki Tanzania A.Y ft Diamond Platnumz - Zigo Remix imezidi kukimbiza na kuwa gumzo kila muda kwani sasa imetazamwa zaidi ndani ya muda mfupi kufikia kutazamwa mara milioni 4 ndani ya muda wa siku 48 tu. Hii ni inaonyesha dhahiri nguvu ya wasanii hawa wa nyumbani (Tanzania) na kutoa hamasa kwa wasanii wengine kufanya nyimbo kubwa zenye kuipeleka nchi yetu kimataifa zaidi bila kutegemea kolabo na wasanii wa nje.

 Unaweza kuitazama kwa kubofya hapa  Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.