Video: Mtazame Ciara Akicheza ‘Kukere’ ya Iyanya na ‘Duro’ ya Tekno, Utaipenda ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Mtazame Ciara Akicheza ‘Kukere’ ya Iyanya na ‘Duro’ ya Tekno, Utaipenda !

Muziki wa Afrika unazidi kupata ‘endorsement’ kutoka kwa wasanii wa Marekani. Na kwa Ciara kupost vipande vya video kwa followers wake zaidi ya milioni 10 kwenye Instagram akicheza Kukere na Duro ni shavu kubwa sana kwa wasanii wa Nigeria, Iyanya na Tekno. Mrembo huyo aliyekuwa nchini Nigeria mwishoni mwa mwezi uliopita, aliguswa na nyimbo hizo kiasi cha yeye na dancers wake kuvamia mitaa ya jiji la Lagos na kucheza nyimbo hizo. Haijulikani alikuwa anatengeneza nini lakini hakuna shaka kuwa mradi wake utawapa mashavu Iyanya na Tekno.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.