Video: Kijana Mwenye Miaka 18 Anayewaniwa na Vilabu vya Arsenal na Barcelona. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Kijana Mwenye Miaka 18 Anayewaniwa na Vilabu vya Arsenal na Barcelona.

Vilabu vikubwa barani Ulaya kwa sasa vinaonekana kutumia fedha nyingi kuweza kuwasajili wachezaji wenye umri mdogo.

Ousmane Dembele (18), ni mchezaji wa Rennes inayoshiriki ligi kuu nchini Ufaransa (Ligue 1). Vilabu vya Arsenal na Barcelona vinaonekana kumnyatia kwa karibu mchezaji huyo mwanye kipaji cha hali ya juu.

Wikiendi iliyoisha klabu ya Barcelona iliwatuma maskauti wake kwenda kumuangalia mchezaji huyo alishinda magoli matatu kwenye ushindi wao wa 4-1 dhidi ya timu ya Nantes.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.