Video: Jionee Raisi Obama Alivyocheza Densi ya Tango na Mwanamke huko Argentina - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Jionee Raisi Obama Alivyocheza Densi ya Tango na Mwanamke huko Argentina

post-feature-image
Rais Obama alisisimua watu waliohudhuria dhifa ya jioni katika ikulu ya rais mjini Buenos Aires, Argentina baada ya kucheza densi maarufu ya tango na mnenguaji wa kike. Mkewe Michelle naye alicheza na mtumbuizaji wa kiume. Dhifa hiyo iliandaliwa na mwenyeji wake Rais Mauricio Macri Jumatano. Baada ya kumaliza, waliohudhuria waliwashangilia.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.