Video: Bob Junior Afunguka Kuhusu Ishu Kukamatwa na Kulala Polisi..Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Bob Junior Afunguka Kuhusu Ishu Kukamatwa na Kulala Polisi..Ipo Hapa

Bet Sasa
Ni headlines zilizochukua nafasi kubwa katika mitandao mbalimbali  hivi karibuni kuhusiana na msanii Bob Junior kukamatwa na jeshi la polisi, sasa basi msanii huyo yuko uraiani na hapa amefunguka mengi ambayo tulikuwa hatuyafahamu kuhusu kukamatwa kwake.

Angalia Video Hapa:
Chanzo: MillardAyo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.