Vanessa Mdee Atoboa ' Siri ' ya Kwanini Anavaa Nguo Fupi, Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Vanessa Mdee Atoboa ' Siri ' ya Kwanini Anavaa Nguo Fupi, Ipo Hapa

Kila anachokifanya Vanessa Mdee katika muziki wake ni biashara na kinalenga kwenye faida zaidi.
Muimbaji huyo ambaye ameachia video ya wimbo Niroge hivi karibuni, amekiambia kipindi cha Friday Night Live cha EATV kuwa, anapenda kuvaa nguo fupi ili kutangaza brand yake, na hatimaye impe dili la matangazo kwa wabunifu wa mavazi.

“Ukweli ni huu, wasanii for a long time in the past, wasanii wa kitanzania hawajajua na kutambua brand yao,” alisema Vanessa

Aliongeza,”Mi brand yangu mi nataka ndani ya miaka miwili napigiwa simu na Balmain, na Lui V, nataka dersigners wakubwa wa dunia wanitumie kutangaza bidhaa yao kwa sababu wanaamini nina brand yangu kubwa na zinaendana, so nina malengo , na if im gonna offend anybody im sory”,

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.