T.I. na Mkewe Tiny Wapata Mtoto wa Saba ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

T.I. na Mkewe Tiny Wapata Mtoto wa Saba !

Rapper T.I. hataki mchezo.. Yeye na mke wake, Tiny wamepata mtoto wao wa saba.
Mtoto huyo wa kike alizaliwa wiki iliyopita. Taarifa hiyo ilitolewa na mtoto wa dada yake na T.I., Kamaya Harris.

“My little cousin is here. Last night I went to go see my auntie and she had the baby today,” alisema kwenye Snapchat.

Tayari familia hiyo ina watoto sita wengine, Messiah, Domani, Deyjah, King, Major na Zonnique.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.