Shabiki wa Ali Kiba Instagram Aponda Show ya Kiba Juzi Nigeria. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Shabiki wa Ali Kiba Instagram Aponda Show ya Kiba Juzi Nigeria.

Bet Sasa
Shabiki wa Kiba anayejiita @kiba_for_real Huko instagram mambo yamemfika shingoni na kuamua kusema haya:

"Leo naomba fans wenzangu wa alikiba mnisamehe nitaongea kinachoniuma,1.ivi king Kiba alipokuwa Nigeria alikuwa na uongozi wake? Na kama walikuwepo walihusika vip na maandalizi ya show ya king? Jamani wakati mwingine tuwe wakweli anapokosea sio tuwe tunasifia wakati kukosea alie iona ile show kama Ana mapenzi ya dhati na king Kiba Kuna mapungufu makubwa aliaona mfano sauti vyombo vilikuwa havisikiki vizuri Kiba mwenyewe alikuwa anaimba kama vile a naogopa yaaaani kama underground wakati ni msanii mkubwa Africa. Ndugu hapo ndio domo anatuzidi kwenye uongozi Hilo lilikuwa jukumuu Lao ivi wanageria watampa Tena shavu? Ilikuwa nafasi ya pekee kwa alikiba kuwa onyesha wa Nigeria kuwa Tanzania Kuna mtu muhimu kama yeye lakini show ikawa imedorora kama msanii mchanga, management ya king Kiba haifai kabisa wooote watolewe au Wana njama maaana show Za live Za king hapa bongo kila mtu anajua ni shidaaa hadi Domo anakimbia kiukweli show ya juzi tusimsifie ilikuwa mbovu mno wadau tueleze ukweli "

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.