Ratiba Ya Ligi Kuu Uingereza Wikiendi Hii. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ratiba Ya Ligi Kuu Uingereza Wikiendi Hii.

Alexis Sanchez wa Arsenal

Ligi Kuu Uingereza kuendelea wikiendi hii kwa kuwa na michezo 10 katika viwanja mbalimbali.

Mchezo mkali utakuwa siku ya Jumamosi kati ya Arsenal na Tottenham (London derby) katika dimba la White Hart Lane, huko London Kaskazini.
Harry Kane wa Tottenham

Nao vinara Leicester City itakuwa ikicheza na Watford katika dimba la

Ratiba kamili;

Jumamosi 5 Machi


15:45 Tottenham v Arsenal

18:00 Chelsea v Stoke

18:00 Everton v West Ham

18:00 Man City v Aston Villa

18:00 Newcastle v Bournemouth

18:00 Southampton v Sunderland

18:00 Swansea v Norwich

20:30 Watford v Leicester

Jumapili 6 Machi


16:30 Crystal Palace v Liverpool

19:00 West Brom v Man Utd

Muda wote ni kwa saa za Afrika Mashariki

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.