Radio & Weasel Wamtandika Jose Chameleone - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Radio & Weasel Wamtandika Jose Chameleone

Timu ya mpira wa miguu ya wasanii Weasel & Radio wameitandika timu ya msanii Jose Chameleone goli 3-2, kwenye mchezo wa kirafiki uliofanyika wikiendi hii.
Mchezo huo ulichezwa viwanda vya chuo cha Makerere, ambao ulikuwa ni mchezo wa Marudiano kati ya timu hizo mbili za wasanii wa muziki wa nchini Uganda.
“Congrats to radio and weasel for the win 3-2 Goals against team chameleone. Special congs to TeamChameleone for the endurance!!!! We win another day, abamacus you tackled like a Man. All my friends who enjoyed, we do it again soon”, aliandika Jose Chameleone kwenye ukurasa wake wa instagram
Pia mechi hiyo ilichezwa na mtoto wa Jose Chameleone ambaye naye ni msanii Abba Marcus, ambaye aligeuka kuwa kivutio kikubwa kwenye mechi hiyo.
⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.