Polisi Nchini Marekani Wavamia Nyumba ya Davido, Sababu na alivyojitetea,vipo hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Polisi Nchini Marekani Wavamia Nyumba ya Davido, Sababu na alivyojitetea,vipo hapa.

Kwa mujibu wa Africa Facts Zone, polisi nchini Marekani wamevamia nyumba ya Davido iliyopo mjini Atlanta, Georgia wakimtuhumu kuwa ni mtu anayekusanya na kusafisha pesa za mambo ya kihalifu.

Polisi walifanya hivyo baad aya kuchunguza maisha ya kifahari anayoishi Davido bila kujua kipato chake kinatoka wapi kwenye eneo hilo analoishi.
Davido alitumia ukweli kwa kuwaambia yeyeni staa wa muziki kutoka Nigeria na kuwaonyesha Channel yake ya Youtube inavyotazamwa na zaidi ya watu milioni 100.
Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.