Picha: Penzi La Baraka Da Prince na Naj Lazidi Kunoga. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Penzi La Baraka Da Prince na Naj Lazidi Kunoga.

Kwa sasa mwanadada Naj amekuwa gumzo kwa kuhisiwa kuwa mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva Baraka Da Prince anaonekana kutotaka tena siri juu ya penzi lao.
Uhusiano wao ambao hauna muda mrefu tangu uanze, unaonekana kukolea siku hadi siku. Naj amepost picha Instagram ya kichwa cha Barakah huku mkono wake wenye kucha zilizopakwa rangi ya njano ikikikishika.
Ni hivi karibuni tu pia Barakah alidai kumpata mpenzi anayeamini kuwa ndiye aliyeushika moyo wake. Japo picha ya msichana aliyekuwa kwenye picha yake haikuonesha sura yake, msuko aliokuwa nao ulithibitisha kuwa alikuwa ni Naj.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.