Picha: Lulu na Richie Wakutana na Waziri Mkuu Majaliwa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Lulu na Richie Wakutana na Waziri Mkuu Majaliwa.

Washindi wa tuzo za AMVCA, Elizabeth ‘Lulu’ Michael na Single ‘Richie’ Mtambalike wamekutana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Ijumaa hii jijini Dar es Salaam.

Wawili hao walishinda tuzo hizo Jumamosi iliyopita jijini Lagos Nigeria. Lulu alishinda kipengele cha filamu bora ya Afrika Mashariki huku Richie akishinda tuzo ya filamu bora ya Kiswahili.

Lulu ameshare picha Instagram na kuandika: Mapema Leo Na Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa..! .”

Hii imekuwa ni wiki ya sherehe kwa washindi hao.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.