Peter Okoye Wa 'P Square' Abadili Jina La Kisanii. Sasa Kuitwa ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Peter Okoye Wa 'P Square' Abadili Jina La Kisanii. Sasa Kuitwa ?

Msanii wa kundi la P-Square ‘Peter Okoye’ ambaye ametoa wimbo wake mpya ambao unaitwa “Look Into My Eyes” amebadlisha jina kutoka kwenye Peter Okoye na kuanza kujiita ‘Mr. P’ kama ishara ya kuanza kufanya kazi kama solo artist.
Peter ametambulisha jina hili kwneye club moja huko Abuja alipofanya show bila pacha wake Paul Okoye.
Pia Peter anashow nyingine mnamo April 7, 2016 huko Dubai. Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.