Ommy Dimpoz Aelezea Uhusiano Wake na Diamond Ulivyo Kwa Sasa ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ommy Dimpoz Aelezea Uhusiano Wake na Diamond Ulivyo Kwa Sasa !

Ommy Dimpoz aliwahi kuwa rafiki mkubwa wa Diamond lakini urafiki wao kwa sasa umeonekana kupungua au haupo kabisa.

Hitmaker huyo wa ‘Achia Body’ ametueleza hali ilivyo sasa.

Amesema hana ukaribu sana na Diamond kwa sasa lakini hana tatizo naye.

“Hapa hakuna mambo ya kufichaficha, kwamba haina noma hata jana nilikuwa naye. Vitu viko wazi vinaonekana hatuko karibu kama zamani, hilo liko wazi. Lakini itakapotokea huko mbele mimi sina tatizo kabisa,” amesema.

Kwa upande mwingine Ommy amedai kuwa anachofanya kwa sasa ni kujikita kwenye mambo yake zaidi.

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.