New Audio: Ben Pol ft Vj Adams & G Nako - Nigefanyeje Remix | Download - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

New Audio: Ben Pol ft Vj Adams & G Nako - Nigefanyeje Remix | Download

Bet Sasa
The countdown is over! Baada ya wimbo wa Ben Pol ‘NINGEFANYAJE’ kuzitawala chati za Afrika Mashariki kwa muda, mfalme wa R&B Tanzania, Ben Pol ametoa  Offical Remix ya wimbo huo "NITAFANYAJE" ikiwa ni collabo yake ya kwanza kufanya na msanii kutoka Nigeria VJ Adams ambaye pia ni mtangazaji maarufu wa runinga ya Soundcity, pamoja na rapper wa WEUSI, G-Nako. Wimbo huu umetayarishwa na producer Erasto Mashine.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.