Mrembo Naj Afunguka Kuhusiana na Ishu ya Kutoka Kimapenzi na Baraka Da Prince. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mrembo Naj Afunguka Kuhusiana na Ishu ya Kutoka Kimapenzi na Baraka Da Prince.

Msanii bongo fleva Naj amevunja ukimya na kusema kuwa yeye hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na msanii Baraka da Prince.

Hatua hiyo imekuja baada ya kuenea habari kuwa anatoka kimpenzi na msanii huyo na kusisitiza kuwa Baraka ni rafiki yake wa karibu na hakuna zaidi.

“Mimi baraka ni mchizi wangu wa karibu sana hakuna mapenzi kati yetu,ila siwezi kubadilisha mawazo ya watu kwa sababu wameshafikiria wanavyojua wao” alisema Naj na kuongeza toka aanze urafiki na baraka wana kama mwezi.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.