Mpenzi Wa Zamani Wa Msanii Wizkid Apata Ujauzito ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mpenzi Wa Zamani Wa Msanii Wizkid Apata Ujauzito !

Aliyekuwa mchumba wa staa wa Nigeria, WizKid, Tania Omotayo amepost picha ikimuonyesha akiwa mjamzito.

Ikiwa ni mwaka mmoja kupita tangu wawili hao kuvunja mahusiano yao ya kimapenzi, Tania amepost picha na kuandika, “@marveleuphoria somebody cannot eat in peace again? Well maybe sha pregnant with amala and ewedu .”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.