Matokeo Ligi Kuu Uingereza - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Matokeo Ligi Kuu Uingereza


Matumaini ya ubingwa Manchester City yametetereshwa baada ya kupokea kipigo kutoka kwa Liverpool na hivyo kulipiza kisasi cha fainali ya Kombe la Ligi Jumapili katika dimba la Anfield.
City iliifunga Liverpool kwa mikwaju ya penati katika dimba la Wembley lakini jana walishuhudia wakipokea kichapo kikali cha 3-0.

Arsenal 1-2 Swansea

Magoli ya Liverpool yalifungwa na Adam Lallana, Roberto Firmino na James Milner.

West Ham 1-0 Tottenham

Matokeo ya mechi nyingine;

Arsenal 1-2 Swansea

Stoke 1- 0 Newcastle

West Ham 1-0 Tottenham

Liverpool 3-0 Man City

Man Utd 1-0 Watford

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.