Leicester Yakomaa Kileleni - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Leicester Yakomaa Kileleni

Bet Sasa
Nyota wa Leicester City wakishangilia goli lililofungwa na Riyad Mahrez dhidi ya Crystal PalaceNyota wa Leicester City wakishangilia goli lililofungwa na Riyad Mahrez dhidi ya Crystal Palace

Riyad Mahrez ameipatia ushindi Leicester City kwa kufunga goli dakika ya 34 dhidi ya Crystal Palace.
Mahrez alifunga goli hilo baada ya kupokea pasi ya krosi kutoka kwa Jamie Vardy.
Kwa sasa Leicester inaongoza ligi kwa tofauti ya alama nane.
Matokeo Jumamosi Machi 19, 2016
Everton 0-2 Arsenal
Chelsea 2-2 West Ham
Crystal Palace 0-1 Leicester
Watford 1-2 Stoke
West Brom 0-1 Norwich
Swansea 1-0 Aston Villa
Jumapili Machi 20, 2016
16:30 Newcastle v Sunderland
16:30 Southampton v Liverpool
19:00 Man City v Man Utd
19:00 Tottenham v Bournemouth
Muda wote ni kwa saa za Afrika Mashariki

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.