Leicester City Yazidi Kupeta Na Kujikita Kileleni. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Leicester City Yazidi Kupeta Na Kujikita Kileleni.

Shinji Okazaki akiifungia goli timu yake Leicester City dhidi ya Newcastle

Leicester imeendelea kuongoza Ligi Kuu kwa alama tano baada ya kuinyuka Newcastle iliyoko chini ya kocha Rafael Benitez.

Goli la tikitaka la Shinji Okazaki liliipatia ushindi The Foxes (Mbwa Mwitu), huku zikiwa zimebaki mechi kukaribia kunyakua taji.
Rafa Benitez aliambulia kipigo katika ya mechi yake ya kwanza kama kocha wa Newcastle

Kipigo hiko kimeifanya Newcastle (Magpies) kuwa ya pili kutoka mwisho.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.