Lady Jaydee Atangaza Mchongo Huu Kwa Mashabiki Wake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Lady Jaydee Atangaza Mchongo Huu Kwa Mashabiki Wake


Lady Jaydee anataka kula dinner na mashabiki wake. Unachotakiwa kufanya ni kujirekodi na kupost video kwenye Instagram au Facebook ukiimba wimbo wake mpya, Ndindindi. 
Lady Jaydee ameandika:
Katika watu wote waliotuma videos Wanaimba NdiNdiNdi Nawashukuru sana Wanaopenda kuendelea wanakaribishwa Ila nitakuwa nazi like huko huko Kwenye page zenu Kifuatacho sasa Nitachagua Clips 3 bora zilizokonga na kusuuza watu wengi Na watatu hao, nitafanya mchakato wa kula nao japo dinner Na ku hang nao siku yoyote nikiwa na event kubwa Majina nitataja baadae kidogo 1. 2. na 3.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.