Koffi Olomide Awashangaza WaKenya Kwa Mavazi Yake ya Show. (Picha) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Koffi Olomide Awashangaza WaKenya Kwa Mavazi Yake ya Show. (Picha)

Muimbaji kutoka Congo Koffi Olomide amefanya show mjini Nairobi kwenye ukumbi wa Arboretum Gardens katika tamasha la 11 la Koroga na kuwapa wakensho show kali ya muziki wa danca mwaka huu.

Muonekani wa Koffi Olomide ambaye amemzidi rais Uhuru Kenyatta miaka mitano ulishangaza watu sababu alivali nguo za ujana sana mpaka kupitiliza

Nguo za Koffi Zilikuwa na mapambo tofauti na viatu vyake vilikuwa toleo jipya la Louis Vuitton.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.