Juma Nature: Naweza Adai Anaweza Kumtuliza Diamond Chini Anaitaji Naye Show Moja Tu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Juma Nature: Naweza Adai Anaweza Kumtuliza Diamond Chini Anaitaji Naye Show Moja Tu.

Baada ya Msanii mkongwe kwenye Bongo fleva Juma Nature kufunguka kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) na kusema kuwa anaitaji show moja tu uwanja wa taifa ambayo itamkutanisha yeye na msanii Diamond Platnumz.
Pamoja na kujua kwamba Diamond yuko juu,msanii huyo alisema kuwa anaamini kwamba yeye (Juma) ndiye mwenye uwezo,kumkabili na kumshinda iwapo utaandaliwa mpambano.
Nature alisema kuwa kuna watu wanadhani amechoka kimuziki,hivyo hana ubavu wa kusimama jukwani na Mondi.
”Niko tayari kupambana na Diamond,nina uhakika naweza kufanya vizuri ”,alisema

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.