JE Nay wa Mitego Amemsema Gigy Money ? "Sura Mbaya Lakini Amejaliwa" - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

JE Nay wa Mitego Amemsema Gigy Money ? "Sura Mbaya Lakini Amejaliwa"

Bet Sasa

Kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa video Queen anayetamba kwa sasa Gigy Money kwenda kwa rapper wa Shika adabu yako Nay wa Mitego kuhusiana na uhusika wake kwenye video ya wimbo huo.

Gigy ameweka wazi kuwa alipewa Shilingi elfu ishirini tu kutoka kwa rapper huyo kama malipo ya kutokea kwenye video hiyo na pia amelalamika kuwa walikubaliana yeye aonekane kwenye kipande kinachohusu wanachuo lakini baadala yake ameoneshwa kwenye kipande kinachohusu mwanamke mwenye sura mbaya.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.