Itazame hapa WashaWasha Tour kutoka kwa Dj D-Ommy, Utaipenda. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Itazame hapa WashaWasha Tour kutoka kwa Dj D-Ommy, Utaipenda.

Siku ya ijumaa Dj D-Ommy alitoa Mini Documentary ya dakika 15 inayozungumzia show zake za kimataifa alizozifanya kama Dj tukianzia ya NBA ALL STAR PRE PARTY iliyofanyika Afrika Kusini, AFRO-CARRIBEAN BEACH PARTY iliyofanyika BAHRAIN na RUGBY - THE MAIN EVENT iliyofanyika Las Vegas (USA) na kwa mara ya kwanza ilionekana CLOUDS Tv. Zitazame hapo chini: Enjoy

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.