Idris Sultan: Tulifanya Kosa Kutangaza Mapema Mimba ya Wema - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Idris Sultan: Tulifanya Kosa Kutangaza Mapema Mimba ya Wema

Maisha ya mastaa duniani hufuatiliwa kwa karibu sana na watu wengi. Kuna kipindi yanakuwa ni asali lakini yanapobadilika huwa ni shubiri.

Mwanzo mahusiano ya Idris Sultani na Madam Wema Sepetu, yalionekana kuvunjika lakini wenyewe wameonyesha kuwa bado wapo pamoja lakini wameamua kuyaficha kwa sasa.

Akizungumza na kipindi cha Friday Night Live (FNL), kinachoruka kupitia EATV, Idris alisema walifanya haraka kutangaza mimba ya Wema.

“Mwanzo tulifanya sana makosa kutangaza mimba ya Wema, culture yetu hairuhusu. Tulitakiwa kuweka wazi kama ingekuwa mimba imefikia miezi minne hivi na kuendelea,” alikiri.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.