Hivi ndivyo jinsi Jux alivyompata Vanessa Mdee na Kuwa Wapenzi. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hivi ndivyo jinsi Jux alivyompata Vanessa Mdee na Kuwa Wapenzi.

Juma Jux, amesema wakati anaanza kumsarandia kimapenzi staa mwenzake, Vanessa Mdee ‘V Money’ alihangaika sana na haikuwa kazi rahisi.

Jux alisema ili kuhakikisha anamweka mtoto Vanessa kwenye ‘line’, alianza kwa kuomba kidani cha mkononi. “Siyo mchezo, nilizunguka kweli. Nilianzia kwa kuomba kidani, akawa haelewi somo, nikahangaika kweli lakini mwishoni nilifanikiwa na nipo naye hadi leo,” alisema Jux.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.