Hili Ndio Jumba La kifahari La WizKid Huko Los Angeles, California Nchini Marekani. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hili Ndio Jumba La kifahari La WizKid Huko Los Angeles, California Nchini Marekani.

Mitandao ya kijamii nchini Nigeria imelipuka baada ya picha za nyumba ya WizKid iliyopo Marekani kusamba.
Nyumba hii ipo mjini Los Angeles, California nchini Marekani wanapoishi asilimia tisini ya mastaa wa nchi hiyo kutokana na hali nzuri ya biashara zao kwenyemjii huo.
WizKid aliandika hivi instagram “Crib so big I got no neighbors! 🙏🏿,” and “#YoungPablo”
Kwa sasa WizKid anajiunga na wasanii kama P-Square na Davido wanaomiliki nyumba kali nchini Marekani.
Hivi karibuni Wizkid alikuwa kwenye jarida la Vogue akiongelea collabo na R Kelly ya I Just Want To Thank You.
kid 1 kid 2 kid 3
wizkid-mansion wizkid-mansion-2 wizkid-mansion-3 wizkid-mansion-4 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.