Director Wa Video Mpya ya "Bado" Haromize Ni Huyu Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Director Wa Video Mpya ya "Bado" Haromize Ni Huyu Hapa

MSANII anayekuja kwa kasi kunako muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdulkhali ‘Harmonize’ amefungukia ‘kichupa’ chake kipya alichofanya na staa wa muziki huo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kuwa aliyehusika kukitengeneza ni Dairekta Nicky kutoka Sauz.
Akipiga stori na Showbiz Xtra, Harmonize anayebamba kwa sasa na Ngoma ya Bado alisema kuwa dairekta huyo ndiye aliyehusika pia kwenye kichupa cha Diamond akiwa na AKA wa Afrika Kusini kijulikanacho kama Make Me Sing.
“Ni mapema sana kuongelea gharama kwa kichupa hicho kwa sasa lakini niwaambie tu mashabiki  imepangiliwa na dairekta Nicky kutoka Sauz,” alisema.
Itazame video hio hapo chini.

                                                                          -GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.