Diamond Ampima DNA Mtoto wake ‘Tiffah’ na ‘Zari’ Ilikujua Kama Yeye ni Baba wa Mtoto Huyo. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Ampima DNA Mtoto wake ‘Tiffah’ na ‘Zari’ Ilikujua Kama Yeye ni Baba wa Mtoto Huyo.

Bet Sasa
Mitandao ya Udaku Afrika inaripoti kuwa muimbaji kutoka Tanzania Diamond Platnumz amempima DNA mtoto wake ‘Tiffah’ na mpenzi wake ‘Zari’ ilikujua kaka yeye ni baba wa mtoto huyo.

Chanzo cha taarifa hizi kinasema kipimo hicho kimafanyika Afrika Kusini siku chache kabla staa huyu hajaenda Las Vegas.

Gazeti la Amani kutoka Tanzania pia limeripoti kufanya mahojiano na Diamond Platnumz.

Diamond alisema “Kutokana na manenomaneno ya watu, ilifika mahali alichoka, akawa njia panda. Hivyo ili kuondoa figisufigisu, akamwambia Zari waende wakampime DNA mtoto na yeye. Ni kabla hajaenda Marekani.”

Vipimo vya DNA vimethibitisha kuwa Tiffah Dangote ni mtoto wa Diamond na sio mtoto wa billionaire Ivan Ssemwanga ambaye ni Ex wa Zari aliyekaa naye kwa miaka 10.

Ivan ana watoto watatu na Zari ambao ni Pinto, Quincy na Didy.

-GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.