Christian Bella Apata Mtoto wa Kiume Nchini Sweden (Picha) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Christian Bella Apata Mtoto wa Kiume Nchini Sweden (Picha)

Bet Sasa
Mke wa muimbaji na kiongozi wa Malaika Band, Christian Bella amejifungua mtoto wa kiume hivi karibuni na kuipatia familia hiyo mtoto wa tatu. Bella ana mtoto anaitwa Jordan (7) Hance (2) pamoja na Christopher ambaye amezaliwa hivi karibuni.

Kupitia instagram, Bella ameandika "Asante mungu kwa kunipa mtoto nina furaha sanaaa. Alizaliwa jana usiku , Hospital karolinska ,stockholm sweden , karibu sana my boy christopher penda wewe sanaaa"

Mke wa Christian Bella anaishi nchini Sweden.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.