Breaking News: Tume ya Uchaguzi Zanzibar Yamtangaza Dr Shein Kuwa Rais wa Zanzibar - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Breaking News: Tume ya Uchaguzi Zanzibar Yamtangaza Dr Shein Kuwa Rais wa Zanzibar

Baada ya uchaguzi wa marudio uliofanyika jana huko Zanzibar Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Yamtangaza Dr Shein Kuwa Rais wa Zanzibar.
DR SHEIN ASHINDA URAIS ZANZIBAR, KURA ALIZOPATA 299, 982 SAWA NA 91% YA KURA ZOTE ZILIZOPIGWA.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.