Ben Pol: Naheshimu Maoni ya Mtu Yeyote iwe Kaniponda, Kunisifia Zote ni Changamoto Kwangu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ben Pol: Naheshimu Maoni ya Mtu Yeyote iwe Kaniponda, Kunisifia Zote ni Changamoto Kwangu

Msanii wa RNB Bernald ‘Ben’ Pol, amesema yeye maoni ya wadau yawe mazuri au mabaya anayachukulia kama changamoto kwenye kazi zake.
Ben amedai kuwa yeye ni mmoja kati ya wasanii wanyenyekevu na wanaopenda kusikiliza maoni ya watu ambao wanawazunguka.

“Mimi maoni ya mtu yeyote naheshimu, yawe mabaya au mazuri yote nayachukulia kama Changamoto” Alisema.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.