Belle 9: Wamehack akaunti yangu ya Instagram na kumdiss Diamond Platnumz - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Belle 9: Wamehack akaunti yangu ya Instagram na kumdiss Diamond Platnumz

Msanii wa bongo fleva Belle 9 amesema watu wasiyo julikana wamehack akaunti ya Instagram iliyounganishwa na Facebook na kuweka post yenye picha ya Diamond Platnumz na kuandika maneno yanayoashiria matusi ya nguoni.

Belle 9 ametoa malezo juu ya jambo hili na kusema yaya sio mtu wa kufanya issue hizo,

“Hili ni tatizo kama matatizo mengine, ni geni kwangu kwa sababu halijawai tokea lakini kwa wasanii wengine yalishatokea. Kwa hiyo naweza sema bado watu wangu wanaendelea kurekebisha tatizo na kuirudisha akaunti yangu. Mimi naimani kuwa watu wameelewa kwa sio mimi kwa sababu mimi sio mtu wa mambo hayo”.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.