Batuli Asikitikia Figisu Ndoa ya Rayuu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Batuli Asikitikia Figisu Ndoa ya Rayuu

Mwigizaji wa Bongo Movie, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amesema miongoni mwa vitu vinavyomnyima furaha kipindi hiki ni ndoa ya msanii wa filamu, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ ambayo inadaiwa kuvunjika.
Akibonga machache na paparazi wetu juzikati, Batuli alisema anawashangaa wanao shabikia ndoa hiyo kuyumba, mbaya zaidi wengi wao ni wanawake ambao huenda nao siku moja yakawafika.
“Niliona jambo la heri Rayuu kuolewa, sasa hizi figisu zinazoibuka zinanikosesha amani kabisa, kikubwa afuate taratibu za dini kuhusiana na talaka hiyo,” alisema Batuli.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.