Alikiba Amtaja Msaniii wa Hip hop Anayemkubali Zaidi - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alikiba Amtaja Msaniii wa Hip hop Anayemkubali Zaidi

Bet Sasa
Kabla ya kuanza kufanya muziki wa kuimba, Alikiba alikuwa rapper mzuri.
Kwenye kipindi cha Chill na Sky, Kiba alinieleza kuwa alipokuwa shuleni alikuwa maarufu kutokana na uwezo wake wa kurap nyimbo za wasanii wa enzi hizo kama Profesa Jay na wengine.

Na sasa muimbaji huyo wa Lupela amemtaja msanii wa hip hop anayemkubali zaidi duniani. Naye si mwingine ni Juma Nature.

Alikiba alikuwa akijibu swali la shabiki kwenye #BaseTwitterView ya MTV Base East. Maswali mengine aliyoulizwa ni pamoja na ana uwezo wa kuimba lugha ngapi naye kujibu anaweza kuimba zote lakini kuandika ni mbili. 

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.